Mh. Mkuu wa Wilaya ya Nzega Bituni Msangi alipokuwa akiongea na wananchi wa Kijiji cha Ikindwa
Jimbo la Bukene Wilaya ya Nzega Tabora
Mwakilishi wa Jeshi la Polisi aliye ambatana na Mh. Mkuu wa Wialaya akitoa ufafanuzi juu wa tukio la
mauaji ya kikatiri yaliyotokea Kata ya Ikindwa Bukene Wilayani Nzega
Mwananchi walioudhulia mkutano ulioitishwa na Mkuu wa Wilaya Ikindwa Nzega Tabora.