MRATIBU WA YOUTH FOR CHANGE BONIPHACE NYABWETA AKIWA SHAMBANI
IYOMBO
NYANYA NI SEHEMU YA MAZAO YETU TULIO LIMA KATIKA SHAMBA LETU LA
BUSTANI IYOMBO NZEGA TABORA
TUMEWEZA KULIMA KILIMO CHA BUSTANI KUTOKANA NA UWEPO WA MAJI KATIKA
SHAMBA LETU HIVYO TUNAUHAKIKA WA KUVUNA NA KUPATA FEDHA
MRATIBU AKIWA NA MZEE STEPHANO CHRISTOPHER BABA MLEZI WA YOUTH FOR
CHANGE WAKIWA SHAMBANI IYOMBO
VIJANA WAKIWA SAFARINI KWENDA SHAMBANI IYOMBO, BAISKELI NI SEHEMU YA
USAFIRI TUNAO UTEGEMEA KATIKA KUTUFIKISHA SHAMBANI.
KWAKUWA HATUNA TREKTA WALA POWERTILLER, HIVYO ULAZIMIKA KUTUMIA
NG'OMBE KULIMIA KAMA NYENZO MUHIMU.
KWAKUWA HATUNA TREKTA WALA POWERTILLER, HIVYO ULAZIMIKA KUTUMIA
NG'OMBE KULIMIA KAMA NYENZO MUHIMU.
KWA PAMOJA TUNAPO FANYA KAZI TUPATA CHAKULA ILI TUWEZE KUENDELEA NA
MAJUKUMU YA SHAMBA
VIJANA WAMEAMKA, HIVYO KUTAMBUA KILIMO KINAWEZA KUWAPA MAENDELEO,
MIONGONI MWA VIJANA HAPO KATIKA PICHA NI WAHITIMU WA VYUO VIKUU
TUMELIMA KWA PAMOJA TUNAO UHAKIKA WA KUVUNA KWA PAMOJA
KATIKA KUZINGATIA JINSIA, TUNAO WAKINA DADA AMBAO WAMEDHAMILIA
KUJIKITA KATIKA KILIMO CHA BUSTANI.
Home »
KILIMO
» VIJANA WALIO KATIKA MPANGO WA KUJIOAJIRI YOUTH FOR CHANGE-NZEGA TABORA WAKIWA KATIKA SHAMBA LAO LA BUSTANI LILILOPO IYOMBO KATA YA ITILO WALIPOKWENDA KUPANDA KABEGI TAREHE 3/8/2013
VIJANA WALIO KATIKA MPANGO WA KUJIOAJIRI YOUTH FOR CHANGE-NZEGA TABORA WAKIWA KATIKA SHAMBA LAO LA BUSTANI LILILOPO IYOMBO KATA YA ITILO WALIPOKWENDA KUPANDA KABEGI TAREHE 3/8/2013
Labels:
KILIMO