Siku ya ufunguzi wa mafunzo kwa vijana wa YFCC Forest Hotel katika picha ni Katibu wa CCM Wilaya ya Nzega Kajoro Vyohoroka aliye vaa tisheti ya kijani, Mratibu wa YFCC wa pili kutoka kushoto, na mwakilishi wa mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Nzega Ndugu Ngomuo.
Wana YFCC wakiwa katika kikao cha pamoja
Siku ya Sherehe ya uzinduzi wa mpango tarehe 18/5/2013 Check Point Nzega Tabora
Vikao vya pamoja ndiyo uleta matumaini kwa vijana katika kupanga nini wafanye na kwawakati gani.