Dada Mayrose Majinge akizungumza na wananchi wa Nzega Tabora
Mwanasheria Lilian Wasira toka Dar es salaam akiongea na wananchi wa Nzega alipohudhulia
sherehe ya utoaji tuzo kwa wakulima.
Mratibu wa YOUTH FOR CHANGE Ndugu Boniphace Nyabweta akimpokea mgeni maalumu Mayrose Majinge alipo alikwa katika zoezi la utoaji wa tuzo kwa wakulima Wilayani Nzega Tabora