Home » , » MRATIBU WA YFCC NA MKUFUNZI WA GIVE OPPORTUNITY KATIKA PICHA YA PAMOJA BULYANG'OMBE IGUNGA TABORA

MRATIBU WA YFCC NA MKUFUNZI WA GIVE OPPORTUNITY KATIKA PICHA YA PAMOJA BULYANG'OMBE IGUNGA TABORA

MRATIBU wa mpango wa kuwezesha vijana kujiajiri YOUTH FOR CHANGE Nzega, unao Ratibiwa na taasisi isiyo ya Kiserikali INFORMATION FOR DISSEMINATION  NETWORK (IDN) na GIVE OPPORTUNITY (GO) Ndugu. Boniphace Nyabweta akikagua Ofisi.

Chini Mratibu wa IDN na YFCC katika picha ya pamoja na Mkufunzi wa Programme ya mafunzo kwa vijana inayoendeshwa na taasisi rafiki ya GIVE OPPORTUNITY (GO) alipotembelea Bulyang'ombe Wilaya ya Igunga Tabora siku ya sherehe za kuwaaga vijana walio maliza mafunzo yao ya Elimu ya Lugha ya Kiingereza. GIVE OPPORTUNITY inaendesha mradi wa kusaidia vijana katika masuala ya Elimu chini ya Ufadhiri wa Washidish toka SWEDEN.
Share this article :
 
Support : Swahiliclan | harold | 0752490120
Copyright © 2011. YOUTH FOR CHANGE - All Rights Reserved
Template Created by swahiliclan Published by hashork
Proudly powered by sc