Programme Officer Renatha Geofrey wa nne kutoka kulia, Afisa Habari Ndugu Jovin Clement wa tatu ku
toka kushoto, Afisa Maendeleo ya Jamii Catherine David mwenye blauzi nyekundu, na wageni waalikwa
wa kwanza ni Madam Merysiana Donald Mwalimu toka Amka Afrika English Medium Babati Manyara
na Wanafunzi toka Shule ya Sekondari ya BADRI wanachama wa YOUTH FOR CHANGE
STUDENT CLUB.