Wana YOUTH FOR CHANGE katika picha ya pamoja, mara baada ya kukamilisha zoezi la kujitolea kufanya usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nzega hivi karibuni. Mwenye tisheti nyekundu aliye vaa kitambulisho Bwana Boniphace Nyabweta (Mratibu) wa YFCC, kushoto ni Afisa Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega Dada Frida na kulia ni Muuguzi wa hospita ya Wilaya ya Nzega.
Bwana YARED BARAKUBA akiwa katika zoezi la usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nzega, mara
baada ya vijana wa Youth for Change walipo kwenda kujitolea kufanya usafi wa mazingira hospitalini hapo.
Dada Prisca Phaustin aliye vaa gloves na tishet nyekundu na dada Recho Sinda wakijadiliana juu ya
zoezi la usafi walilojitolea kufanya hivi karibuni katika hospitali ya Wilaya ya Nzega kama sehemu ya
mchango wao kwa jamii.
Dafroza Sadock na kaka Zakayo Dominick, wana YFCC wakifanyausafi wa mazingira hospitali ya
Wilaya ya Nzega.
Stanslaus Mathias, ambaye pia ni (Afisa Masoko) wa YFCC na Dada Maimuna Kasha (Afisa wa
Maktaba) katika zoezi la pamoja la usafi wa mazingira hospitali ya Wilaya ya Nzega.