Afisa wa Idara ya Fedha wa Youth for Change Ndugu. Edward Lembo, aki
wa safarini kuelekea Wilaya ya Igunga kikazi, njiani gari likapata aja
ri ya taili ya nyuma kupasuka.
Wafanya biashara wa matikitimaji wa kijiji cha UPAMBO Kata ya
ISANZU ambako zilipo heka mia 700 za mpango wa Kilimo cha
Biashara katika mpango wa YOUTH FOR CHANGE.